Blog  |  About  |  Privacy  |  Contact  |  +Submit Lyrics

Kulia Kushoto

-

Femi One - Kulia Kushoto Lyrics


[Intro](Kaka Empire, is the lifestyle)Kulia kushotoKabla unicross jiulize maswali most ni nini inaenda kucost'Sabu Femi ni moto, ya kuotea mbaliN'jaribu utageuzwa hali mwili yako ifichwe mahaliMi ni Mama Watoto, you are my sons and daughters vile inafaaKimziki nimewazaa, ghetto maisha ya msotoNaijua vizuri so pesa haiwezi nchanganya, talanta nmeifanya mkwanja[Verse 1]Bidii na skill, kiTegla (huh), Lorupe, kismat ni extraNshow vile unafeel, pretender (huh), usishtuke, ndo stuff napendaShipment kwa flight nshapokea trophy ya AfrimmaHater ako tight nikitajwa na heshimaBreathe in release, mapema (huh)Jichunge, mtaenda na pressureFrequеnting flights niko juu nikitafta pesaTreatment ni right nikipull up kwa sеctorDecent na mic wanabuya nkitemaMistake utry kuvuruga utahema10 years ago nlikuwa juu ya Double DekkerGrowth imekuwa slow lookin' back najichekaMkwanja ya mziki uwanga tam ukitesekaIndustry queen wanang'am nikibweka[Hook]Kulia kushoto napita katiFemi ni moto, otea na mbaliMama watoto, nalea machaliNajua musoto, unishtui maliNafanya mziki nafanya kaziNatamba mjini, uskii nko ndaniDem toka Mwiki, baddie wa mtaaniNairobi city, tangu zamani[Verse 2]YeahWatu si wajinga usijigas hakuna noti zinaflow tunameseaSi magig si mashow si mabrand jo unastahili unyamaze nikiongeaWenzako wameketi over thereUna mapepo ibada nazikemeaHawa mafala wamenizoeaHukosi kwa pang'ang'a na umbeaNa hatukuoni wasanii tukitokeaLast aliperform bado Nakumatt ikiwaIt's lonely at the top, chapa kazi utafikiwaNaskia ningeflop ni label imenshikiliaNashindwa nani amewastop si ata nyi mngeshikiliwa tufananeInauma wakicheki tunalive vile wanadreamUskii na bado itabidi wameget used toNa akuna samahani ache nispit vile nafeelHii haga yangu itabaki mmepeck busu[Hook]Kulia kushoto napita katiFemi ni moto, otea na mbaliMama watoto, nalea machaliNajua musoto, unishtui maliNafanya mziki nafanya kaziNatamba mjini, uskii nko ndaniDem toka Mwiki, baddie wa mtaaniNairobi city, tangu zamani[Verse 3]Kulia kushotoKabla unicross jiulize maswali most ni nini inaenda kucost'Sabu Femi ni moto, ya kuotea mbaliN'jaribu utageuzwa hali mwili yako ifichwe mahaliMi ni Mama Watoto, you are my sons and daughters vile inafaaKimziki nimewazaa, ghetto maisha ya msotoNaijua vizuri so pesa haiwezi nchanganya, talanta nmeifanya mkwanja[Hook]Kulia kushoto napita katiFemi ni moto, otea na mbaliMama watoto, nalea machaliNajua musoto, unishtui maliNafanya mziki nafanya kaziNatamba mjini, uskii nko ndaniDem toka Mwiki, baddie wa mtaaniNairobi city, tangu zamani[Outro]Eish SifaFemi Uno

Kulia Kushoto lyrics !!!