Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
Afraid, holding her breathe
Maybe he might hear her
See, he doesn't feel the same way
Maybe, H_Art the Band, Lady Jay Dee
[Verse 1]
Nikaja kupenda na moyo wangu wote
Binti huyu aliyenifanya nimuote
Usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
Sionekani popote
Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito
Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama
Naona kwamba niliachwa upweke
Nilikuwa na wingi wa mahaba
Nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
Nilikuwa na wingi wa mahaba
Nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
[Chorus]
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
[Verse 2]
Ni ukweli niliamua kuondoka
Nikidhani nitapendwa niendako
Ooh hakuna
Oh mi nilidhani nitakuta tofauti
Hio yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka
Mambo mengi we ulinikosea
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa
[Chorus]
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah