Blog  |  About  |  Privacy  |  Contact  |  +Submit Lyrics

Tekenya (Remix) [feat. Rayvanny]

-
  • TextText file is a kind of computer file that is structured as a sequence of lines of electronic text.
  • WordUse for Microsoft Office Word or Open Office
  • PDFUse for Abobe Acrobat

Tekenya (Remix) [feat. Rayvanny] - Lava Lava Lyrics


Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katotoKamenitekenya kamenigusa kunako
Eeeh kunako
Kamenitekenya kamenipofua macho
Eeeh machoKanafanya makusudi
Kama hakataki beepu(Mdoli doli)
Kanafanya nakwenda rudi
Bodaboda pikipiki (Toroli roli)Kanitekenya! Kanipandisha midadi
Nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya! Moyo mpasuko radi
Mapigo mbio bila ya idadi
Shepu lake la Nicki Minaji
Mtoto ananimalizia mtaji
Akili kwake hazihitaji
Natapa tapa kama mfa majiTeke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenishika kwenye paja(Tekenya)
Namtaja taja(Tekenya)Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenigusa kwenye paja(Tekenya)
Yaani mara huku mara hapa(Tekenya)Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya!
Kama gari imepigwa starter
Kanitekenya!
Yaani kama bodaboda imewashwaKananitekenya
Kakitingisha tetemente(Tetemente)
Kanitekenya
Ni pata shika mambo yente(Yente yente)Ooh lala, nitamaliza mikwanja
Siku nikikamata
Ooh lala, vichaka kwa kiraja
Kuku atampata bataKanitekenya! Kanipandisha midadi
Nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya! Moyo mpa fuko radhi
Mapigo mbio bila ya idadiShepu lake la Nicki Minaji
Mtoto ananimalizia mtaji
Akili kwake hazihitaji
Natapa tapa kama mfa majiTeke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenishika kwenye paja(Tekenya)
Namtaja taja(Tekenya)Teke tekenya(Tekenya)
Kaniteke tekenya(Tekenya)
Amenigusa kwenye paja(Tekenya)
Yaani mara huku mara hapa(Tekenya)Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto(Ayolizer)

Tekenya (Remix) [feat. Rayvanny] lyrics !!!