Nakuomba NereaUsitoe mimba yangu eehMungu akileta mtoto analeta sani yakeMlete nitamleaUsitoe mimba yangu eehMungu akileta mtoto analeta sani yakeHuenda akawa Obama, atawale AmericaHuenda akawa Lupita, Oscar nazo akashindaHuenda akawa Wanyama, acheze soccer UingerezaHuenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifaNakuomba Nerea usitoe mimba yanguMungu akileta mtoto, analeta sani yakeMlete nitamlea usitoe mimba yangu eehMungu akileta mtoto, analeta sani yake(nitamlea)Huenda akawa Mathai, ailinde mazingiraHuenda akawa Mageba, nyimbo nzuri akatungaHuenda akawa Nyerere, aongoze TanzaniaHuenda akawa Mandela, mkombozi wa AfricaNakuomba Nerea usitoe mimba yangu eehMungu akileta mtoto analeta sani yakeMlete nitamlea usitoe mimba yangumungu akileta mtoto, analeta sani yakeNakuomba Nerea, Nerea, Nerea usitoe mimba yanguNerea, Nerea, Nerea usitoe mimba yanguHuenda akawa Kagame, atawaleJaramogi Odinga, tuunganeHuenda akawa Tom MboyaHuenda akawa RudishaHuenda akawa malaika, mungu ametupatiaHuenda akawa Sauti SolHuenda akawa Amos and JoshHuenda akawa maaa...Huenda akawa malaika, mungu ametupatiaEND