Blog  |  About  |  Privacy  |  Contact  |  +Submit Lyrics

Vumbi (feat. Diamond Platnumz)

-
  • TextText file is a kind of computer file that is structured as a sequence of lines of electronic text.
  • WordUse for Microsoft Office Word or Open Office
  • PDFUse for Abobe Acrobat

Vumbi (feat. Diamond Platnumz) - Rayvanny Lyrics


VUMBI LYRICS



[Intro : Rayvanny]

Kimbunga Hichoo

Kimbunga Hichoo

Kimbunga Hichoo

Yani Tunazoa zoa



[Verse 1 : Rayvanny]

Mwaga Jasho Miguu Iwake Moto

Timua Vumbi Timua

Kisigino Kibebwe na Ugoko

Timua Vumbi Timua

Ruka Ruka Tuziamshe Popo

Timua Vumbi Timua

Vua Shati Ukisikia Joto

Timua Vumbi Timua

Sa Tuna Kisanua (Vumbi)

Tunawachafua (Vumbi)

Tunawapa Mafua (Vumbi)

Vumbi Timua Vumbi

Tunakata Fumua (Vumbi)

Wakizingua (Vumbi)

Tunawapa Mafua (Vumbi)

Vumbi Timua Vumbi

Wanatukimbiza Wasafi Eeeeh!!

Wapo Makundi Makundi

Lakini Hawatupati Eeeeh!!

Tunawaachia Vumbi!!



[Chorus : Rayvanny]

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua



[Verse 2 : Diamond Platnumz & Rayvanny]

Ooh! Kama Mashine Yakoboa Mpunga

Timua Vumbi Timua

Sunami Changanya na Kimbunga

Timua Vumbi Timua

Gwaride la Jeshi (Timua..!)

Embu changa simenti (Timua..!)

Chana jamvi kapeti (Timua.. Mama!)

Timua Vumbi Timua

Leeee Leleee

Timua muchanga

Kama Unalicheza Vanga (LeeeeLeee Leee)

Mzuka Ukipanda

Vua Shati Kama Mwanga (Leeee Leleee)

Leeee Leleee

Timua muchanga

Kama Unalicheza Vanga (LeeeeLeee Leee)

Mzuka Ukipanda

Vua Shati Kama Mwanga

Asa Kachili Saga (Saga Saga)

Kamatia Zaga (Zaga Zaga)

Isugulie Gaga (Gaga Gaga)

Kinaga Ubaga

Twendee Timua...!



[Chorus : Rayvanny]

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua

Timua Vumbi Timua Timua Vumbi Timua



[Outro : Rayvanny]

Mwendo Kama Farasi (Ooooh Ooooh Tunawatimua Timua)

Twawatoa Kamasi (Ooooh Wanaugua na Mafua)

MwendoKama Farasi (Ooooh Ooooh Tunawatimua Timua)

Twawatoa Kamasi (Ooooh Wanaugua na Mafua)

Kimbunga Hichoo

Kimbunga Hichoo

Kimbunga Hichoo

Yani Tunazoa zoa

Kimbunga Hichoo

Kimbunga Hichoo

Kimbunga Hichoo

Tunabomoa Bomoa



Kasi Kama Risasi (Ooooh Ooooh)

Tuko Nduki Kibati (Ooooh Ooooh)

Hawatukamati (Ooooh Tunawatimua Timua)



[Outro : ]

Shika Asa kitimue (Timu Timu)

Yani Chimba (Timu Timu)

Fukua Fukua (Timu Timu)

Chimba Chimba.... eeeh!!!

Vidole chepeo (Timu Timu)

Kiuno Mpini (Timu Timu)

Fanya kama kolea (Timu Timu)

Ifukue kwa Chini

ANZA TENA!!!!

Vumbi (feat. Diamond Platnumz) lyrics !!!